Profile avatar
ojmwandemele.bsky.social
Swahili Poet #Mshairi | Photography ๐Ÿ“ธ | Books ๐Ÿ“š
25 posts 21 followers 11 following
Prolific Poster
Conversation Starter

Moyo ona Ona unavilenipeleka Usiku kurupuka Mpaka lini gagazika? Moyo ona Ishi sasa nyakati Unichosha mikakati Zilizopita zijazo nyakati Moyo ona Maisha si tu utuli Tulia imba zabuli Jifunze kukubali Moyo ona, Ishi sasa #Mshairi

Ni kuzuriiiiii โค๏ธ

Uhuru #Outdoors #Monochrome #Sky #Street #Townhouse #Photo #Tanzania #Today

Khadja Nin ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ ๐ŸŽง ๐ŸŽถ Kwenye huu wimbo Khadja anahoji embargo namna embargo inaleta dhiki badala ya amani leo nasaili ju mimi sikuelewa mambo yale unasema embargo ni njiya ya kuleta amani kwangu kwa vile naona ni watu wanahangayika bure ๐ŸŽถ๐ŸŽง #Burundi #Spotify #Africanmusic

Mdundo toka Mali ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ mwanamziki Boubacar Traorฤ“ #Mali #Spotify #afrika #koramusic

Khadija Nin , zawadi ulimwengu ulipewe toka Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ โค๏ธ Mbali ya ma inchi yote Mbali ya Paris au Roma Kuna watu masikini, hawa liye,hawa ombe Wana itika tu vile Wale watu wana imba ata kama Wana lala njala, njo vile kila siku #Burundi #Africa #music #swahili

Connections Puzzle #608 ๐ŸŸช๐ŸŸจ๐ŸŸฆ๐ŸŸฆ ๐ŸŸฆ๐ŸŸฆ๐ŸŸฆ๐ŸŸฆ ๐ŸŸฉ๐ŸŸฉ๐ŸŸฉ๐ŸŸฉ ๐ŸŸจ๐ŸŸจ๐ŸŸจ๐ŸŸจ ๐ŸŸช๐ŸŸช๐ŸŸช๐ŸŸช Almost a gimme!!

Jamhuri stadium ๐ŸŸ๏ธ #photos #football #soccer #africa #tanzania #bluesky

Jamhuri stadium ๐ŸŸ๏ธ #photos #football #soccer #africa #tanzania #bluesky

Muda huu #photooftheday #hills #photography #photo

Donโ€™t ever say to yourself, โ€˜I got all this wealth by my own power and ability.โ€™ Remember the LORD your God is the one who gives you power to do these things. He does this because he wants to keep the agreement that he made with your ancestors, as he is doing today! Deuteronomy 8:17-18 ๐Ÿ“–

Muda huu #photooftheday #hills #photography #photo

Oh, Congo I think of Goma, My heart drums with sorrow, The light has dimmed, Oh, dear Congo. Years upon years, Humanity torn apart, Cruelty beyond reason, Oh, dear Congo. The people cursed in misery, Who gains from their pain? The blood of the innocent, Oh, dear Congo.

Simama! #streetphotos #tanzania #mountains #swahili #bluesky #photoofday

Simama! #streetphotos #tanzania #mountains #swahili #bluesky #photoofday

Mwenda pole #photography #streetphotography #citylife #photooftheday

Mwenda pole #photography #streetphotography #citylife #photooftheday

Tanesco mmezingua Nifanya nilie gizani Kama tola Mmeniumbua! Shindwa ona maufundi Nala gizani Mmenichukiza Nala sioni chachandu Pishi maufundi Mtanza gizani Chakula kipo mezani Nala ka nipo kolokoloni Mmezingua!, Umeme mmekata ๐Ÿ˜Ÿ #Mshairi #swahili #poem

History is game of chance

Uku na kule #rain #landscape #sky #cloud #plants #green #cloud #photoofday #bluesky

Mlimani #mountains #sky #green #mountainspeople #bluesky #swahili

What. A. Player. ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช

Tower Fall, Wyoming ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

Mlimani #mountains #sky #green #mountainspeople #bluesky #swahili

Morogoro town #photos #tanzania #streetphotos #africancities #bluesky

Morogoro town #photos #tanzania #streetphotos #africancities #bluesky

City kafa kifo cha mende

the moon is beautiful, isnโ€™t it?

poetry is for everyone do not gatekeep your words set them free without rules limits syllables punctuation

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ this is America